|
Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu akizungumza na Wananchi Jimboni Kwake. |
|
Mnara wa Tigo uliopo Kata ya Igelansoni Jimbo la Singida Magharibi. |
Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu ametimiza moja ya ahadi yake kwa Wananchi wa Kata ya Igelansoni kwa kuomba Kampuni ya Tigo ikajenge Mnara.
Mhe. Kingu aliyasema haya kwa Wananchi wake, "Igelansoni Asante sana, asante sana TIGO mmenipa Heshima kubwa mmewapa watu wangu Igelansoni Heshima kubwa sana. Watu wangu hawakuamini sana Wamepata mnara kata hii inawatu zaidi ya elfu 16. Asanteni na Asante Mungu kwa kuthibitisha unabii kuwa wangepata minara ndani ya Miezi Minne".
No comments:
Post a Comment