Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akikabidhi msaada wa mabati katika shule ya awali ya Kisirui kata ya Rangwi jimbo la Mlalo mkoani Tanga.
Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wakazi wa Kisirui kata ya Rangwi jimbo la Mlalo mkoani Tanga, mwishoni wa wiki alipotoa msaada wa Mabati katika shule ya awali Mkunki mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment