Sunday, 24 April 2016

MH. ELIBARIKI KINGU AKWAMA MTO MINYUGHE, ALIKUWA ANAENDA KUZINDUA ZAHANATI KATA YA MAKILAWA

 Gari la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida likiwa limezama  katikati  ya mto Minyughe  jimbo la Singinda Magharibi.

Pichani ni Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu na Viongozi  wa Chama  Cha Mapinduzi(CCM) Wamekwama katikati  ya mto  wakiielekea  kata ya Makilawa kushughulikia  kufungua  zahanati  kwa wananchi  hawa wa kata Mpya.

Zahanati  hii ni muhimu  sana kwa Watanzania  hawa  ambao  hawajawahi kupata  huduma hii ya Afya.




No comments:

Post a Comment