Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze Nchi yetu Duniani Kote,unaweza bofya link chini halafu angalia jina gonga utakuwa umesha piga kura.uzalendo kwanza
No comments:
Post a Comment