Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiongea na wanachama wa SACCOS ya Maposeni iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea Tarehe 27 Februari Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akipokewa na Wanakijiji wanaoishi jirani na Shule ya Mgazini Sekondari, Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na kikundi cha ujasiriamali cha utengenezaji wa tambi na biscuti katika kijiji cha Mpitimbi, Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na sana kikundi cha ujasiriamali cha utengenezaji wa tambi na biscuti katika kijiji cha Mpitimbi, Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama Mkutano kata ya maposeni juu kikundi cha ngoma ya asili ya kingoni Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama Mkutano kata ya maposeni juu kikundi cha ngoma ya asili ya kingoni Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwasikiza wananchi katika Mkutano kata ya maposeni juu, Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza katika Mkutano kata ya maposeni juu kikundi cha ngoma ya asili ya kingoni Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista
Mhagama. akikaga ujenzi wa madarasa Shule ya sekondari litapwasi Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Mhe. Jenista
Mhagama akikagua maendeleo wa maabara ya shule ya sekondari litapwasi, Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma.
No comments:
Post a Comment