Friday, 19 February 2016

UVCCM TAIFA IMEANDA MDAHALO WA VIJANA 21/02/2016


TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kupitia Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano Inakuletea Mdahalo wa Vijana kutoka Makundi Mbali mbali .

Mdahalo utafanyika siku ya Jumapili ya Tarehe 21/02/2016 saa 8:00 Mchana katika ukumbi wa Karimjee.

Mada Kuu Siku Hiyo ni " MATARAJIO YA VIJANA KWA SERIKALI YA AWAMU TANO "

1.Watoa Mada ni Antony Peter Mavunde (Naibu waziri , Kazi ajira na Vijana)
2. Ndg Humphey Polepole (Mdau wa Maendeleo ya Vijana)
3. Balozi Dr Diodorus Kamala (Mbunge wa Nkenge)
4. Ndg Egla Mamoto ( Katibu wa Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM Taifa)

WOTE MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA MDAHALO HUO BILA KUJALI ITIKADI ZETU KWA MSLAHI YA TAIFA LETU.

Na Sufyan Omar.

No comments:

Post a Comment